Animation

Blogger templates

FLEVA za katuni kila wakati,Pata sababu ya kutabasamu kila uingiapo!

29 September, 2010

3 Maoni::

Anonymous said...

Nimependa hii katuni na ujumbe wake, watanzania tuwe makini siku ya kupiga kura (31st Oct 2010), usikose kutetea haki yako ya MIAKA 5 ijayo. Tusilalamike pembeni tu, usikose kupiga kura yako kwa mgombea safi kwa maendeleo ya TAIFA letu la Tanzania.

Anonymous said...

Ujumbe nimeupata kiutu uzima

Anonymous said...

tumepewa fursa ya kufanya mabadiliko na kuachana na hizi ngebe za mavuvuzela.......its on Tanzanians.....lets make a change......and May our Loving father Bless you all